Kipindi hiki kinatambulisha chimbuko, mawazo na dhumuni la kuanzishwa kwa Vavagaa, kikionyesha simulizi, ushiriki na mchango wa wanawake katika harakati za ukombozi katika nyanja mbalimbali. Fuatilia Youtube kupitia link hii https://youtu.be/yZf-lThGUHk?si=TcNmkWWM0vZRb4fV