Kipindi hiki kinaelezea maana ya Ufeministi kwa undani, kikivunja dhana potofu na kufafanua misingi, malengo na umuhimu wake katika harakati za haki, usawa na utu wa wanawake. Fuatilia zaidi kwa kubonyeza link hii https://youtu.be/BcfP3EtCB1U?si=qGA7qxVhkTldQbtm