Rushwa ya Ngono

Kipindi hiki kinajadili rushwa ya ngono (sextortion), namna inavyojitokeza katika jamii, athari zake kwa wanawake na wasichana, na umuhimu wa kuivunja kimya ili kudai haki na uwajibikaji. Kufuatilia zaidi kuhusu mada tazama kupitia link hii https://youtu.be/RvN7FNIM78U?si=UD5cPbHqEh9Va3ob

Share the Post: