Mihemko ya kidume na dhana ya kujiheshimu

Mjadala huu unachunguza mihemko ya kidume na namna inavyojengwa na jamii, pamoja na athari zake kwa dhana ya kujiheshimu. Wadau wa ufeminia Mary Rusimbi, Sammy Awami, Mary Ndaro na wengineo wanajadili mada hii kwa kina kupitia Vavagaa Zoom. Kufuatilia zaidi bonyeza link hii https://youtu.be/vrtU1P-sfsg?si=mEfmG6k183oX4Os2

Share the Post: