Tafakuri: Siku ya wanawake duniani

Tunapoadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, je tunabadilisha mifumo au tunarudia kauli zilezile?
Kupitia mjadala wa Mary Ndaro na Demere Kitunga, Vavagaa inachambua mfumo dume, ufeminia na nafasi ya siku hii katika harakati za ukombozi. Kufuatilia zaidi bonyeza linki hii https://youtu.be/sQWp0enLPu8?si=K6ldRIOL4e-zRr-V

Share the Post: