Vavagaa Mtaani tulienda moja kwa moja kwa wananchi.
Tulizungumza na makundi mbalimbali kujua uelewa wao kuhusu harakati za ukombozi wa mwanamke.
Je, watu wanaielewaje feminia? Tazama mjadala huu wa moja kwa moja kutoka mtaani. Bonyeza linki hii kujionea yaliyojiri https://youtu.be/LdPI3WWj7NQ?si=p0z2235AqWYSmHWZ
Vavagaa Mtaani : Uelewa wa harakati za ukombozi wa mwanamke
Share the Post: