Mila na desturi kandamizi kwa mwanamke bado zinazungumzwa sana mitaani. Kwenye episode hii tunachambua jinsi mila potofu zinavyomkandamiza mwanamke. Je, ni lini tutaacha mila hizi zinazorudisha nyuma maendeleo ya akina dada? Kufuatilia zaidi bonyeza linki hii https://youtu.be/wxQGl7eSkrk?si=V9A7041PPqjB9HLv