Zifahamu Mila na Desturi kandamizi kwa Mwanamke.

Mila na desturi kandamizi kwa mwanamke bado zinazungumzwa sana mitaani. Kwenye episode hii tunachambua jinsi mila potofu zinavyomkandamiza mwanamke. Je, ni lini tutaacha mila hizi zinazorudisha nyuma maendeleo ya akina dada? Kufuatilia zaidi bonyeza linki hii https://youtu.be/wxQGl7eSkrk?si=V9A7041PPqjB9HLv

Share the Post: