Nani mmiliki wa mwili wa Mwanamke?

Kipindi hiki kinafungua mjadala kuhusu umiliki wa mwili wa mwanamke, haki ya maamuzi binafsi, na namna jamii, tamaduni na mifumo ya kijamii inavyoathiri uhuru wa wanawake juu ya miili yao. Kufuatilia zaidi bonyeza linki hii https://youtu.be/Xhi-NZ3Y8To?si=hhfJV-Y6RHWjyjWu

Share the Post: