Kipindi hiki kinafungua mjadala kuhusu umiliki wa mwili wa mwanamke, haki ya maamuzi binafsi, na namna jamii, tamaduni na mifumo ya kijamii inavyoathiri uhuru wa wanawake juu ya miili yao. Kutazama muendelezo mada hii bonyeza linki hii https://youtu.be/If7I2ICIBAo?si=4OU_yDy3kfdKvtwz