Jinsia na Uongozi

Mjadala huu unaangazia dhana ya uongozi kwa mtazamo wa kijinsia, ukichambua nafasi ya mwanamke katika uongozi kuanzia ngazi ya familia, ukoo hadi jamii kwa ujumla. Mjadala huu umejikita zaidi kwenye uelewa wa mifumo iliyopo, uzoefu halisi wa wanawake, na nafasi ya ufeminia katika kupanua uelewa wa uongozi jumuishi na wa haki. Kufuatilia zaidi bonyeza link hii https://youtu.be/dBgBlRZaWKg?si=hEcFDoxV1tCq3Bho

Share the Post: