Ni mjadala unaochambua maana na upeo wa fikra za kifeminia kutoka kwa mitazamo mbalimbali kupitia Vavagaa Zoom. Wafeminia wanajadili kwa kina jinsi ufeminia unavyoishi katika maisha ya kila siku, harakati, na mapambano ya kijamii, wakipanua mawanda ya uelewa wetu kuhusu haki, usawa, na ukombozi. Kufuatilia zaidi mjadala huu bonyeza link hii https://youtu.be/-eNDgDItHDk?si=1Hw7VsQXUY0jhKuN