Usawa wa Kijinsia

Katika mjadala huu, mwanaharakati Wema Husu na Mary Ndaro wanachambua changamoto zinazoendelea kukwamisha usawa wa kijinsia. Wanajadili sababu za kijamii, kiutamaduni na kimfumo zinazosababisha hali hiyo, na kutafakari namna ya kuvunja vikwazo vinavyokwamisha haki na usawa kwa wote. Kufuatilia mada hii bonyeza link hii https://youtu.be/-_cxMOg0zq4?si=Z-tR12YJPnxc0u5j

Share the Post: