Mahari na Siasa za Ndoa

Wanaharakati Mary Ndaro, Zuhura Yunus, Halima Sharif na wengine wanajadili maana na madhumuni ya mahari, pamoja na siasa zinazoizunguka taasisi ya ndoa. Mjadala unaangazia mitazamo tofauti kuhusu mahusiano, mamlaka, na nafasi ya wanawake ndani ya ndoa katika muktadha wa kijamii na kitamaduni. Kufuatilia zaidi mada hii bonyeza link hii https://youtu.be/Ji7oS3Ii37Y?si=o6iDIH1CM-f-fVm8

Share the Post: