Kuanzia posa, mahari, mipango ya harusi hadi kuanza kuishi pamoja – ni taratibu zipi zinatuongoza, na zipi zinatuongoza bila sisi kuzichagua? Vavagaa inaleta mjadala wa kina kuhusu ndoa na siasa zake. Kufuatilia zaidi bonyeza link hii https://youtu.be/SC5IjIdDnoY?si=3OVhV0yNB_7RTFb1