Mjadala huu unaangazia namna dhana ya kubweteka inavyolengwa zaidi kwa wanawake, hususan wanawake waliopo nyumbani wanaotekeleza majukumu ya kazi za nyumbani. Kufuatilia zaidi mjadala huu bonyeza link hii https://youtu.be/smnibs8rhIA?si=eoYMJqFt8WR9IrHu