Athari za matumizi mabaya ya mitandao ya Kijamii.

Mada inayofata ni athari za matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii. Katika kipindi hiki cha Vavagaa, tunachambua kwa kina jinsi mitandao ya kijamii inavyoathiri maisha ya vijana kiakili, kihisia, kijamii na hata kiutamaduni.Je, mitandao hii ni jukwaa huru la kujieleza na kuungana, au imekuwa mtego wa shinikizo, kulinganisha maisha na kuathiri ustawi wa vijana? Bonyeza hapa kufuatilia zaidi https://youtu.be/DCgRGcSKw9w?si=FW9i9f43bQvygw__

Share the Post: