Mazungumzo ambayo mara nyingi huachwa nyuma au kusemwa kwa sauti ya chini, sasa tunayaleta wazi pamoja na mtaalamu wa afya ya uzazi na uzazi wa mpango. Tuko hapa kuvunja ukimya; tunaongea bila woga kuhusu miili yetu, haki zetu, changamoto na maswali ambayo wengi huogopa kuuliza. Kufuatilia zaidi bonyeza linki hii https://youtu.be/-peiRiQOiSo?si=xHmZqtF_n8kiW2Yf
Ukweli juu ya Afya ya uzazi.
Share the Post: