Katika toleo hili la Vavagaa Mtaani, tulikaa na mafundi garage kuzungumza kwa uwazi kuhusu usawa wa kijinsia na kazi. Bila kufundisha wala kulaumu, tulisikiliza mitazamo, uzoefu na maswali halisi kutoka kwenye mazingira ya kazi tukijenga mazungumzo ya uelewa na heshima. Kufuatilia zaidi boyeza linki hii https://youtu.be/ICiV1WwG308?si=DZuMs80bT6xt8jBR