Kwanini jamii huona mwanamke akimove on haraka basi hakupenda kweli, lakini mwanaume akifanya hivyo huonekana ni kawaida au hata anapongezwa? Katika episode hii ya Vavagaa, tunachambua mitazamo hii ya kijamii na mizizi yake, tukijadili upendo, maumivu na safari ya kuponya baada ya mahusiano au ndoa. Kufuatilia zaidi bonyeza linki hii https://youtu.be/Ja94ZbNCdfc?si=pF8itpIxL5uKYMZ2