Msimu uliopita tulizungumza kuhusu ndoa, lakini safari haikuishia hapo. Tunarudi tena kwenye mjadala wa ndoa kwa macho ya sasa tukiangalia jinsi mapenzi, majukumu, uhuru, fedha na matarajio yanavyobadilika ndani ya mahusiano na ndoa za leo. Kufutilia zaidi bonyeza linki hii https://youtu.be/K_UnIWiP3jg?si=ZqjuDBySYXRTV6D-