Homepage Forums Group Forums

last updated by Anonymous 12 years, 5 months ago.
20 topics
34 replies
    • Forum
    • Topics
    • Posts
    • Freshness
    • Announcements
      Nunc in dapibus dolor. Suspendisse semper magna eu odio vehicula ultrices sit amet viverra tortor. Maecenas scelerisque, ipsum ac varius pulvinar, velit erat porttitor tellus, consequat sollicitudin ipsum metus scelerisque nunc.
    • 0
    • 0
    • No Topics
    • Automotive
      Duis tellus ipsum, vehicula nec porttitor accumsan, tempor id ipsum. Maecenas quis molestie massa. Nunc sed nulla velit, at porttitor elit. Curabitur lacinia leo non felis ultricies pretium sit amet vel dolor. Nunc sit amet eros diam. Pellentesque quis nisl eros, at laoreet ante. Curabitur lacinia leo non felis ultricies pretium sit amet vel dolor. Nunc sit amet eros diam. Pellentesque quis nisl eros, at laoreet ante. Duis tellus ipsum, vehicula nec porttitor accumsan, tempor id ipsum. Maecenas quis molestie massa. Nunc sed nulla velit, at porttitor elit. Curabitur lacinia leo.
    • 0
    • 0
    • No Topics
    • Fashion
      Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Praesent ullamcorper pellentesque turpis, eu sodales lorem adipiscing a. Curabitur lacinia leo non felis ultricies pretium sit amet vel dolor. Nunc sit amet eros diam. Pellentesque quis nisl eros, at laoreet ante. Curabitur lacinia leo non felis ultricies pretium sit amet vel dolor. Nunc sit amet eros diam. Pellentesque quis nisl eros, at laoreet ante. Duis tellus ipsum, vehicula nec porttitor accumsan, tempor id ipsum. Maecenas quis molestie massa. Nunc sed nulla velit, at porttitor elit. Curabitur lacinia leo.
    • 0
    • 0
    • No Topics
    • Kabati la Vitabu
      Ni Group linalohusu masuala ya vitabu vya mafundisho na simulizi mbalimbali zitokazo kwa waandishi tofauti tofauti. Hivyo watu mtakaopenda kujiunga na kundi hili tungependa tushirikiane pamoja katika kuvijadili vitabu kwa kuelezea dhamira hasa ya kitabu husika na mafundisho tunayoyapata katika vitabu hivyo. karibuni sana katika kundi hili zuri la Kabati la Vitabu.....
    • 0
    • 0
    • No Topics
    • Lorem
      Sed dapibus, libero dignissim ultrices malesuada, magna tortor varius ante, vestibulum placerat lacus nulla vitae erat. Vestibulum ante ipsum primis in faucibus orci luctus et ultrices posuere cubilia Curae; Pellentesque sit amet nulla ligula. Duis id ipsum at purus rutrum dapibus at in leo. Ut diam dui, auctor et tincidunt ac,.
    • 0
    • 0
    • No Topics
    • Mauris malesuada
      Curabitur venenatis tristique leo condimentum cursus. Vivamus in odio augue, a faucibus sapien. Curabitur lacinia leo non felis ultricies pretium sit amet vel dolor. Nunc sit amet eros diam. Pellentesque quis nisl eros, at laoreet ante. Curabitur lacinia leo non felis ultricies pretium sit amet vel dolor. Nunc sit amet eros diam. Pellentesque quis nisl eros, at laoreet ante. Duis tellus ipsum, vehicula nec porttitor accumsan, tempor id ipsum. Maecenas quis molestie massa. Nunc sed nulla velit, at porttitor elit. Curabitur lacinia leo.
    • 1
    • 2
    • Movies
      Fusce lobortis faucibus augue, non congue leo tincidunt nec. Nullam ut tellus dui, non porta purus. Curabitur lacinia leo non felis ultricies pretium sit amet vel dolor. Nunc sit amet eros diam. Pellentesque quis nisl eros, at laoreet ante.
    • 1
    • 2
    • Msichana Initiative
      This is an Feminist Group that deals gender inequality and focuses on gender politics, power relations, and sexuality. While providing a critique of these social and political relations
    • 0
    • 0
    • No Topics
    • Msichana Initiative
      Msichana Initiative ni shirika lisilo la kiserikali lililoanzishwa mwaka 2016. Linajihusisha na maswala ya kupigania haki ya elimu kwa mtoto wa kike. Shirika hili linasimamia na kuhakikisha usawa wa kielimu unapatikana kwa wote bila ubaguzi wa aina yoyote, kama vile kijinsia, hususan kwa mtoto wa kike. Pia linasimamia upatikanaji wa fursa za kielimu, kuimarisha ulinzi wa mtoto na kuhakikisha vifaa vya hedhi vinapatikana kwa gharama nafuu pamoja na kuhakikisha mabadiliko ya sera zinazohusu ustawi wa mtoto wa kike zinaendana na uhalisia wa kumuinua mtoto wa kike. Lengo kubwa la shirika hili ni kuhakikisha jamii ya kitanzania inatambua na kusimamia na kutambulika kwa haki za mtoto wa kike, kuthaminiwa utu wake na kupata nafasi ya kuonyesha na kukuza vipaji vyao bila wasiwasi. Shirika hili pia lina dira ya kuondoa dhana yoyote ya kibaguzi kwenye mifumo ya kisheria hasa kwa watoto wa kike na kuhakikisha wanahusika kwenye mambo ya kijamii. Misingi ya shirika hili ni uadilifu na kuzingatia misingi ya kitaaluma kwenye utendaji wake na kuhakikisha linasimama kua mfano hai wa kazi zake kwa jamii. Uwajibikaji wenye kuleta tija na mabadiliko katika jamii ni sehemu ya nguzo msingi kwa Msichana Initiative. Ushirikishwaji wa makundi mbalimbali ya kijamii na kutoa fursa na huduma kwa watu wote bila kujali jinsia, rangi, umri na hali ya kiuchumi. Shirika hili linaamini kwenye misingi ya kufanya kazi pamoja na wadau wengine wa maendeleo ikiwemo Serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali na watu binafsi wenye lengo la kufanikisha malengo ya shirika hili. Sara Beda ni Afisa Mawasiliano wa Msichana Initiative. Anasema shirika lao linafanya kazi na jamii kwa ujumla na kwa upande wa wasichana wanaoshugulika nao ni hasa wale wa shule za msingi na sekondari. “Kwa upande wa Serikali tunashirikiana na madawati ya jinsia ambayo yanafanya kazi kwa karibu sana na wanajamii ambao wako mstari wa mbele kabisa kuhakikisha wanatoa taarifa pale unyanyasaji unapotokea au kama kuna taarifa za mtoto wa kike kuingizwa kwenye ndoa za utotoni. Jitihada kipindi cha Covid-19 Mara baada ya mlipuko wa Covid-19 wanafunzi walipitia wakati mgumu kimasomo. Lakini jitihadi zilichukuliwa kuhakikisha wanafunzi wanaendelea kupata elimu. Kuna club nyingi ziko mashuleni ambazo huwa na lengo la kuwasaidia wanafunzi kua na uelewa wa mambo mbalimbali. Msichana Amani Club ni moja ya kilabu ambazo ziko mashuleni zinazokutanisha watoto wa kike na wa kiume wote kwa pamoja kwa lengo la kujadili mambo mbalimbali ya kimaisha na kimasomo pia hususan mambo na changamoto wanazokutana nazo shuleni na nyumbani. Pia kuna majukwaa mbalimbali kama jukwaa la ajenda ya msichana. Jukwaa hili hukutanisha wasichana mara moja kwa mwaka kutoka vyuoni, shuleni na mitaani kwa lengo la kujadili mambo yanayomuhusu msichana na nini kifanyike Kupitia jukwaa la ajenda ya msichana kwa kushirikiana na Serikali Msichana Initiative ilifanikiwa kujadili kwa pamoja mambo ya msingi msichana anatakiwa kuzingatia anapokutana na ukatili wa kijinsia akiwa nyumbani, shuleni au eneo lolote. Wakati wa Covid-19 mwaka jana kwenye kipindi ambacho watoto walikua nyumbani Msichana Initiative waliandaa kampeni inayoitwa Corona isiwe kikwazo na walitumia mitandao ya kijamii kuhakikisha inafikia watu wengi maana wakati huo matumizi ya mitandao ya kijamii yalikua kwa asilimia kubwa. Hii ililenga kuikumbusha jamii kua Corona isiwe kikwazo kwa watoto wa kike walio nyumbani kunyanyaswa, kupewa mimba na kutopata huduma zingine za msingi za kijamii. Wakati wa Covid-19 pia shirika lilinunua barakoa 1000 na kuwagawia wanawake wanaofanya biashara kwenye soko la Kivukoni. Waliona umuhimu wa kugawa barakoa hizo kama sehemu ya kumsaidia mwanamke anayehangaika kuleta chakula nyumbani bila kujali hali ya maambukizi yalikua makubwa kwa kiasi gani. Na wakati huo huo tarehe 28 mwezi May ni siku ya hedhi salama duniani. Waliona ni vema kuanzisha kampeni iitwayo ‘Vunja Ukimya Corona Isiwe Kikwazo’ kwa lengo la kuwakumbusha wanajamii kuongea na watoto wao wakiwa majumbani na kuhakikisha wanawapa mahitaji husika yanayohitajika bila kujali kuwepo kwa ugonjwa wa Corona
    • 0
    • 0
    • No Topics
    • Music
      Duis tellus ipsum, vehicula nec porttitor accumsan, tempor id ipsum. Maecen quis molestie massa. Nunc sed nulla velit, at porttitor elit. Curabitur lacinia leo non felis ultricies pretium sit amet vel dolor. Nunc sit amet eros diam. Pellentesque quis nisl eros, at laoreet ante. Curabitur lacinia leo non felis ultricies pretium sit amet vel dolor. Nunc sit amet eros diam.
    • 11
    • 34
    • Phones
      Morbi eu purus nec enim vestibulum pulvinar. Sed scelerisque mollis sem a sagittis. Nunc tortor leo, adipiscing at consequat quis, faucibus vitae mauris. Morbi in nisl eget quam consectetur suscipit non ut quam. Donec sed eros in nisi elementum dapibus quis nec dui. Donec vitae lectus ut justo eleifend bibendum in in ante.
    • 0
    • 0
    • No Topics
    • Sailing
      Maecenas erat ante, egestas a semper non, blandit id lorem. Nunc sed nulla velit, at porttitor elit. Curabitur lacinia leo non felis ultricies pretium sit amet vel dolor. Nunc sit amet eros diam. Pellentesque quis nisl eros, at laoreet ante. Curabitur lacinia leo non felis ultricies pretium sit amet vel dolor. Nunc sit amet eros diam. Pellentesque quis nisl eros, at laoreet ante. Duis tellus ipsum, vehicula nec porttitor accumsan, tempor id ipsum. Maecenas quis molestie massa. Nunc sed nulla velit, at porttitor elit. Curabitur lacinia leo.
    • 1
    • 3
    • Social Group
      This is the social group, deal with all social issues concerning with Women that can help to improve the responsibility of women and the roles. So, let us discuss and share some ideas together...
    • 0
    • 0
    • No Topics
    • Social Group
      This is the social group, deal with all social issues concerning with Women that can help to improve the responsibility of women and the roles. So, let us discuss and share some ideas together...
    • 0
    • 0
    • No Topics
    • Sport
      Pellentesque quis nisl eros, at laoreet ante. Curabitur lacinia leo non felis ultricies pretium sit amet vel dolor. Nunc sed nulla velit, at porttitor elit. Curabitur lacinia leo non felis ultricies pretium dolor. Nunc sit amet eros diam. Pellentesque quis nisl eros, at laoreet ante. Curabitur lacinia leo non felis ultricies pretium sit amet vel dolor. Nunc sit amet eros diam. Pellentesque quis nisl eros, at laoreet ante. Duis tellus ipsum, vehicula nec porttitor accumsan, tempor id ipsum. Maecenas quis molestie massa. Nunc sed nulla velit, at porttitor elit. Curabitur lacinia leo.
    • 1
    • 2
    • Technology
      Morbi quam felis, varius faucibus placerat vel, auctor vitae ligula. Proin at justo a neque elementum scelerisque vehicula quis lectus. Curabitur lacinia leo non felis ultricies pretium sit amet vel dolor. Nunc sit amet eros diam. Pellentesque quis nisl eros, at laoreet ante. Curabitur lacinia leo non felis ultricies pretium sit amet vel dolor. Nunc sit amet eros diam.
    • 2
    • 4
    • WAJIKI – TAASISI YA WANAWAKE KATIKA JITIHADA ZA MAENDELEO
      Wajiki ilivyoanzishwa Taasisi ya Wanawake katika Jitihada za kimaendeleo – Wajiki, yenye makao yake makuu Kinondoni Jijini Dar es Salaam ilianzishwa kutokana na shahuku ya Mkurugenzi wa taasisi hiyo, Janet Mawinza, ya kupigania haki za wanawake ambapo mwaka 2007 alianzisha vikundi vya ujasiriamali. Mawinza ni mwanamke mwenye kiu ya kuona wanawake wakiishi bila kunyanyaswa, huku pia wakifanikiwa kiuchumi. “Harakati za kujifua kwa ajili ya harakati za wanawake zilianza mwaka 2007. Siku moja niliona tangazo kwenye runinga ikitoa wito wa mkutano wa wanawake uliofanyika Mabibo. Nilimshawishi rafiki yangu, tukahudhuria mkutano ule na kujifunza kuhusu haki za wanawake. Mwaka 2009 tulianzisha vikundi vya Vicoba kwa lengo la kuwawezesha wanawake kiuchumi. Baada ya hapo tukaanzisha kampeni za kupinga ukatili kwa wanawake,” anasema Mawinza, akiongeza kuwa licha ya kuanzisha harakati hizo zote, kikundi chao hakikusajiliwa hadi ilipofika mwaka 2014 “Tumekuwa tukifanya kazi tangu mwakia 2009 lakini tulisajiliwa mwaka 2014. Tumekuwa tukiibua vitendo vya ukatili tukishirikiana na jamii. Tulianzisha kampeni ya ‘Mlango kwa Mlango’ ambayo inatusaidai kufanya kazi zetu, ambapo tunashirkiana na Polisi au hospitali na hata mahakamani na vituo vya msaada wa sheria. Ili kufanikisha kazi za taasisi walilazimika kujiunga na mitandao mbalimbali ukiwemo Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Mtandao wa Mapambano ya Rushwa ya Ngono, wakaingia pia kwenye Mtandao wa Wanawake, Katiba na Uchaguzi. Kutokana na uchapakazi wao, hatimaye, Wajiki ilianza kupata misaada na hatimate Kituo cha Msaada wa wanawake Kisheria (WLAC) kilijitokeza na kuwafadhili katika mapambano ya utetezi wa wanawake, huku taasisi ya Women Fund nayo ikiwafadhili kupitia mtandao wa Wanawake Katiba na Uchaguzi kwa lengo la kuelimisha jamii kuhusu mapambano ya rushwa ya ngono. “Kupitia ufadhili huo tumeanzisha kampeni ya ‘Safari salama bila rushwa ya ngono kwa wasichana na wanafunzi inawezekana’,” anasema. Akifafanua zaidi kuhusu kampeni hiyo sasa inayotimiza miaka mitatu, Mawinza anasema waliona tatizo la wasichana kupewa mimba limekithiri hivyo walitafuta wadau wanaohusika ili kupiga kampeni ya kupambana nalo. “Tulianzisha klabu za wanafunzi ambapo wanafunzi walieleza changamoto wanazozipata wanapokuwa katika safari ya kutoka nyumbani kwenda shule na kurudi. Baada ya kuona changamoto hiyo tukawashirikisha madereva wa bodaboda na daladala na kujadiliana jinsi ya kuwasaidia wanafunzi wa kike. Kwa hiyo tukaanzisha vikundi vya madereva wa bodaboda tukawa tunawafuata kituo kwa kituo,” anasema. Wajiki waliutekeleza mradi huo katika kata ya Makumbusho, Manispaa ya Kinondoni katika shule tano za msingi na Sekondari moja na kwa manispaa ya Ilala walifanyia katika kata ya Gongo la Mboto kwa kukutana na baadhi ya wanafunzi. Kupitia kampeni hiyo walitumia viakisi mwanga (reflector), vipeperushi na nyimbo, huku pia wakiibua vinara wa mapanmbano hayo mitaani ili kuhamasisha jamii ili ielewe rushwa ya ngono ni ipi. Kutokana na harakati zake za ukombozi wa wanawake, taasisi ya Wajiki imejulikana na kufanya kazi za taasisi za kimataifa zikiwemo za Umoja wa Mataifa za UN Women (Shirika la Umoja wa Mataifa la Wanawake na UNFPA (Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu). Wajiki ilivyopambana kuwatetea wanawake wakati wa Corona Mwaka 2020 haukuwa salama katika kila nyanja ukianzia kiuchumi, kijamii na kisiasa, kwani nchi nyingi zilisimamisha shughuli za wazi zinazohusisha mikusanyiko ya watu wengi. Tanzania, kama zilivyo nchi nyingi ilifunga baadhi ya shughuli zenye mikusanyiko ikiwa pamoja na kufunga shule zote na kudhibiti usafiri katika mabasi huku pia tahadhari za usafi zikizingatiwa. Wanawake ndiyo kundi lililoathiriwa zaidi wakati huo, kwani wengi wao shughuli zao zilitegemea mikusanyiko ikiwa pamoja na ufanyabiashara ndogo ndogo. Kutokana na changamoto hiyo Wajiki iliamua kutafuta suluhisho. Mkurugenzi wa Wajiki, Janet Mawinza ameeleza jinsi taasisi yake ilivyopambana kuwasaidia wanawake wajasiriamali kuendelea na biashara zao. Anasema walishirikiana na taasisi ya Soma kuamzisha mradi wa Mshikamano Hub ambao ulisaidia wanawake wakati wa majanga hasa Corona. “Wanawake waliathirika zaidi kwa sababu walikuwa wakipanga biashara zao wateja hawakwenda; kwa mfano mwanamke muuza ndizi wateja waliogopa kununua bidhaa kwamba anaweza kuwaambukiza Corona. Kwa hiyo tulitafuta njia ya kutoa sauti na hapo wenzetu Soma waliiona na kuanzisha mradi ambapo sasa mteja halazimiki kwenda kwa mwanamke anayefanya biashara pale. Tuliwatumia madereva wa bodaboda kufikisha bidhaa kwa wateja wao,” anasema. Hawakuishia hapo, kwani pia walianzisha mradi wa kutengeneza pilipili na karanga ili kuwasaidia wanawake kujipatia kipato wakati wa Corona huku wakipinga ukatili. “Tukaanzisha mradi wa kutengeneza pilipili, lakini kwenye kifungashio tunaweka karatasi yenye ujumbe wa kampeni yetu. Pia tulitengeneza karanga zenye ujumbe huo,” anasema. Pia anasema mradi huo uliwawezesha wanawake kutoa taarifa ya matukio ya ukatili kwani katika kipindi cha kufungiwa kutokana na ugonjwa wa Corona baadhi ya wanawake waliofanyiwa vitendo vya ukatili hawakuweza kutoka kwenda kutoa taarifa kwa kuhofia maambukizi. Kwa upande mwingine, Mawinza anasema waliendelea kutoa elimu ya kupinga ukatili wa wanawake katika kipindi cha Corona kwa kuweka maturubali na vitakasa mikono na kuweka mabango yenye ujumbe wa kupinga ukatili huo.
    • 0
    • 0
    • No Topics
    • Wanawake Tunaweza
      Group of women with a common philosophy focused in empowering one another and leading by example with one motive of changing the community
    • 0
    • 0
    • No Topics
    • Web Surfers
      A group dedicated to those who surf the web. Lets get an awesome collection of funny, and interesting things together.
    • 0
    • 0
    • No Topics
    • Women Fund Tanzania- WFT
      Mfuko wa Udhamini wa Wanawake Tanzania ni shirika lililosajiliwa kama shirika lisilo la kiserikali mwaka 2008 na kubadilishwa kua mfuko wa udhamini wa wanawake mwaka 2019. Kwa Tanzania ni shirika pekee na la kwanza la mfuko wa udhamini wa wanawake. Lengo lake kubwa ni kushiriki katika kuchangia haki za wanawake kwa kutumia fursa za mfuko huo kubadilisha maisha ya wanawake Tanzania. Carol Mango ni Mkuu wa Programu WTF. Anasema shirika hilo linaamini wanamwake na wasichana wana nafasi kubwa sana ya kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii zao. Shirika hilo linawajenga wanawake na wanaharakati kwa kuwapa sauti na kuwalinda kupitia baadhi ya programu zilizopo hapo. Programu hizo ni pamoja na upatikanaji wa matumizi ya ruzuku, kujengewa uwezo wa kiharakati, uhamasishaji rasilimali na namna ya kuendeleza fedha na kuimarisha ukuaji wa mfuko huu. Programu hizi zinakusudia kukuza harakati za wanawake na kupata fursa za wanawake kutoka sekta na mashirika mbalimbali kukutana na kufahamiana na kutengeneza mazingira rafiki kwa pamoja na kupata matokeo chanya. WTF imewapa ruzuku mashirika zaidi ya 200 yaliyo kwenye hali ya chini na pia mashirika yaliyo kwenye ngazi ya kitaifa tangu shirika hili lianze kufanya kazi mwaka 2011. Miaka mitano iliyopita, WTF ilifadhili programu ambazo zinahusika na mambo ya haki kwenye eneo la kukuza haki za kiuchumi kwa wanawake na wasichana, haki za uongozi na kuunga mkono harakati za elimu ya wasichana. Kwenye mpango wa kusaidia harakati kwenye ngazi za chini kabisa, WFT imetenga asilimia 60 ya ruzuku zake. Hii inaenda sambamba na kutoa ushauri kuhakikisha washiriki wa ngazi za chini wanashiriki kwenye kampeni za kitaifa. Yafuatayo ni mafaniko chanya yaliyowezeshwa na mfuko huu na kuleta mchango mkubwa: Muungano juu ya haki za kikatiba za wanawake, uchaguzi na uongozi ambao una idadi kubwa ya mashirika ya haki za wanawake kama 80, mitandao, na vikundi vyenye utaalam mwingi katika utengenezaji wa sera na utetezi, mabadiliko ya sheria, kuandaa msingi, na uongozi wa wanawake wadogo. Kampeni ya Kupambana rushwa ya ngono ni ajenda muhimu ya harakati za ukombozi wa wanawake na imeonyesha mashirika yaliyopokea ruzuku yanayoshughulika na jitihada zao zimetambuliwa kwa kiwango cha kitaifa na kushirikiana na watendaji wa serikali TAKUKURU WFT inatoa msaada wa kitaalamu kupitia TAKUKURU ambao waliibua tatizo la rushwa ya ngono iliyo kwenye vyuo vikuu viwili. Vyuo hivyo ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Chuo Kikuu cha Dodoma. Washiriki wengine wa WFT waitwao WAJIKI walianzisha kampeni ya mlango kwa mlango miaka sita iliyopita kwa lengo la kupambana na rushwa ya ngono. WAJIKI walitumia madereva na wasaidizi wa madereva wa vyombo vya umma kama daladala, pikipiki na kuwatumia katika kukamilisha kampeni hiyo. Kampeni hiyo ilitumia nyimbo, vipeperushi, fulana zenye jumbe mbalimbali za kupambana na rushwa ya ngono. Mwaka 2020 kampeni ilifikai watu 45 na asilimia 72 ni wanaume. Kumekua na mabadiliko ya tabia na mtazamo kutoka kwa wanaume waliokua wakitaka rushwa ya ngono kutoka kwa wanafuzni wa kike na wasichana wadogo wasio na uwezo wa kulipa nauli baada ya kupata huduma ya kusafiri. WTF imetengeneza jukwaa ambalo wanawake wanapeana uzoefu wa kianaharakati na ujuzi mbalimbali kupitia jukwaa la ‘Her story’. ‘Her story’ ina zaidi ya wanachama 35 ambao ni binafsi na taasis pia. Jukwaa hili linalenga kwenye kuzalisha, kutunza na kukusanya hadithi au habari zenye mlengo wa kianaharakati na kukuza ajenda ya kimaendeleo.
    • 0
    • 0
    • No Topics
    • Painting
      Etiam id quam et erat eleifend ultricies quis vitae lacus. Nulla bibendum facilisis vestibulum. Sed vehicula dui ut est lacinia sit amet imperdiet diam vestibulum. Donec fermentum pulvinar neque semper posuere. Nam vulputate neque non metus commodo egestas. Curabitur eget justo arcu, eu sodales dui. Nunc ornare, eros id consectetur porttitor, lorem nunc tempus ligula, elementum lobortis sem urna at tellus. Praesent quis augue elit. Suspendisse potenti. Vestibulum eu tellus quam.
    • 2
    • 6
    • Shopping
      Vivamus adipiscing mauris in mauris laoreet imperdiet. Sed posuere quam sed mauris auctor aliquam. Cras non turpis in odio tempor egestas. In dictum erat massa. Curabitur augue arcu, dapibus auctor auctor vitae, dictum sed neque. Nulla facilisi. Sed sit amet egestas lectus.
    • 0
    • 0
    • No Topics
    • Animals
      Vivamus adipiscing mauris in mauris laoreet imperdiet. Sed posuere quam sed mauris auctor aliquam. Cras non turpis in odio tempor egestas. In dictum erat massa. Curabitur augue arcu, dapibus auctor auctor vitae, dictum sed neque. Nulla facilisi. Sed sit amet egestas lectus.
    • 0
    • 0
    • No Topics
    • Cooking
      Vestibulum commodo volutpat leo id blandit. Donec porttitor, purus eget dignissim pharetra, sem nisl lobortis sem, ut ultricies felis dui sed mauris. Donec vel leo dolor, eget mattis dolor. Nullam ultricies, orci ut dictum fringilla, justo odio rhoncus nibh, vel tincidunt lacus nibh non lectus.
    • 0
    • 0
    • No Topics
    • Birds
      Aenean vestibulum, leo vitae mollis vehicula, felis sapien tincidunt nulla, ut pharetra risus urna eget sem. Integer vel convallis quam. Mauris varius nisl ac tortor imperdiet id porta risus porttitor. Praesent gravida, dui ut porttitor tempor, augue risus tempus ligula, sit amet cursus arcu dui sed lacus. Pellentesque sit amet lorem tortor. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit.
    • 0
    • 0
    • No Topics
    • Games
      Vivamus eget cursus orci. Vestibulum a urna velit, id eleifend felis. Praesent gravida enim eu nisl adipiscing eu hendrerit massa condimentum. Aenean sit amet fermentum mauris. Curabitur consequat condimentum justo, non pellentesque dui ullamcorper nec. Sed nec rhoncus magna. Mauris eros nulla, dapibus sed dignissim a, consectetur vitae diam. Duis hendrerit aliquet leo varius porta.
    • 0
    • 0
    • No Topics
    • Dance
      Fusce ultricies felis ut odio tempus faucibus. Donec tempus feugiat diam ut rutrum. Aliquam feugiat mollis justo. Quisque non arcu in arcu cursus consectetur. Nunc adipiscing, orci quis porttitor congue, eros nisi blandit nibh, in accumsan erat ante sit amet nisi. Nullam a eros at arcu accumsan mollis.
    • 0
    • 0
    • No Topics
    • Music child
      Proin pellentesque varius rutrum. Nunc eleifend lectus eget sem suscipit venenatis. Proin laoreet facilisis posuere. Proin ante tortor, fringilla sit amet interdum sollicitudin, vehicula non eros. Duis tempor blandit pretium. Nulla nibh dolor, mollis non porttitor eu, volutpat at orci. Integer consequat eros ut ligula imperdiet convallis. Praesent metus nunc, vulputate vitae imperdiet sed, sagittis nec justo.
    • 0
    • 0
    • No Topics
    • Music child child
      Aecenas vel semper libero. Etiam in neque nunc, sit amet condimentum libero. Donec sit amet erat vestibulum dolor vulputate tincidunt. Nulla facilisi. Aenean eu arcu non lorem commodo rhoncus non vitae sem. Fusce congue tellus euismod lectus lacinia aliquam. Quisque vestibulum elementum pulvinar.
    • 0
    • 0
    • No Topics
    • Photography
      Ut quam urna, scelerisque sit amet mollis id, egestas eget ante. Suspendisse non neque in diam porta elementum. Ut quis aliquam mi. Nam semper, metus in adipiscing hendrerit.
    • 0
    • 0
    • No Topics
    • Science
      Ut quam urna, scelerisque sit amet mollis id, egestas eget ante. Suspendisse non neque in diam porta elementum. Ut quis aliquam mi. Nam semper, metus in adipiscing hendrerit,
    • 0
    • 0
    • No Topics
    • Photography
      Integer lacinia dapibus congue. Etiam nec libero massa, vel convallis felis. Nulla lobortis, orci in dapibus dapibus, purus odio elementum leo, lacinia placerat diam nulla bibendum neque. Duis mollis turpis non odio volutpat nec convallis mi accumsan. Morbi pharetra dui ac quam ornare rutrum.
    • 1
    • 1
    • Anonymous
    • Testing
      Description
    • 0
    • 0
    • No Topics
  • Oh, bother! No topics were found here.

You must be logged in to create new topics.

Info

Suspendisse purus nisl, malesuada et sagittis vel, pellentesque in mauris. Etiam ultricies, elit sit amet accumsan blandit, purus massa ullamcorper felis, vel tincidunt orci ex in tortor. Proin ligula metus, euismod vel risus id, suscipit porttitor eros. Sed id velit quis orci semper ornare.

The Feminist Professional Community Network in Tanzania
The Feminist Professional Community Network in Tanzania