Je, ni kweli wanawake hatupendani au ni simulizi tulizoaminishwa kwa muda mrefu?

Katika episode hii ya Vavagaa, tunachunguza mizizi ya usemi “wanawake ni maadui wa wanawake,” tukizungumzia kwa uwazi wivu, mashindano, nguvu na urafiki miongoni mwa wanawake na kuvunja mitazamo iliyojengwa na mfumo dume unaonufaika pale tunapogawanyika. Kufuatilia mada hii bonyeza link hii https://youtu.be/7agIxuw4WFY?si=zUKzAxZWvCRby6JG

Share the Post: