Tukiwa kama Vavagaa, tuna wajibu wa kuvunja ukimya kuhusu miili yetu, mzunguko wa hedhi, ngono salama, mimba na afya ya uzazi kwa ujumla. Tunazungumza bila woga na bila aibu, kwa sababu vijana wanahitaji taarifa sahihi pamoja na nafasi salama ya kuuliza, kuelewa na kushiriki. Hii ni nafasi ya kusema yale ambayo mara nyingi hufichwa au kuzungumzwa kwa sauti ya chini. Kufuatilia zaidi bonyeza linki hii https://youtu.be/kabDvkBFaIE?si=N1TOki6f4xrrBTYO