Vijana na Mabadiliko

Vijana wa bodaboda wakibadilishana mawazo kuhusu masuala ya uchaguzi wakigusia uzoefu wao, matarajio na namna maamuzi ya kisiasa yanavyogusa maisha yao ya kila siku. Sauti za mtaani, mazungumzo ya kweli. Kufuatilia zaidi mada hii bonyeza linki hii https://youtu.be/xW8DZBrQtUo?si=jrZrFPEjr5xQC2-a

Share the Post: