Vavagaa inatibua na kunyumbua fikra. Vijana wakichambua uongozi kwa mtazamo wao, uzoefu wao na matarajio yao kwa mustakabali bora wa maisha yao. Vavagaa tunagusia maana ya uongozi kwa kizazi cha sasa, changamoto tunazokutana nazo katika kushiriki michakato ya maamuzi, na namna mitazamo tofauti inavyounda uelewa wetu wa siasa na uongozi. Kufuatilia zaidi mada hii bonyeza linki hii https://youtu.be/qtViHfLKcGA?si=GBDjc1GEwwoLqH64