Wanawake na uongozi si hadithi ya kusubiri ruhusa, bali ya kuchukua nafasi. Kwenye episode hii ya Vavagaa, tunafungua fikra juu ya nguvu, maamuzi, na njia ambazo wanawake wanajitengenezea katika safari ya uongozi, licha ya vikwazo na mitazamo iliyopo. Kufuatilia zaidi mada hii bonyeza linki hii https://youtu.be/mkrgG3n11ok?si=eddUX4O98t7It5hr