Kwenye episode hii ya Vavagaa, tunafichua sauti za mtaani zikichambua nafasi ya wanawake na wanaume katika siasa, matarajio yao na changamoto wanazokutana nazo katika kushiriki uongozi. Tunajadili pia namna usawa wa kijinsia unavyoweza kuonekana kwa vitendo ndani ya mifumo ya maamuzi, na nini kinahitajika ili kuhakikisha kila mmoja anapata nafasi ya kushiriki kikamilifu katika uongozi. Kufuatilia zaidi bonyeza linki hii https://youtu.be/8jHcJetV-Ps?si=5SbKq9bA9tYpobSq