Ajira Tanzania: Kwa Nini Wasichana Wanaumia Zaidi?

Ugumu wa ajira kwa wasichana ni mkubwa zaidi kuliko wavulana, ukichochewa na ubaguzi wa kijinsia, majukumu ya nyumbani, mimba za mapema na ukosefu wa ujuzi. Katika episode hii ya Vavagaa tunachambua hali halisi na kuhoji: kwa nini wasichana wengi huingia kwenye sekta isiyo rasmi au hukosa kabisa nafasi, na je, jamii inafanya vya kutosha kubadili hali hii? Kufuatilia zaidi bonyeza linki hii https://youtu.be/ElKbGrhCvGA?si=ny7VXNs5254_XSzj

Share the Post: