Kwanini wanawake hubaki katika mahusiano yasiyo na tija?

Katika episode hii ya Vavagaa, tunazungumza kwa uwazi kuhusu nguvu, hofu, upendo na utamaduni unaowafanya wanawake wengi kubaki kwenye mahusiano yasiyo na tija. Tukisikiliza sauti za waliopitia, kupambana na kujifunza, tunauliza: je, jamii inatoa nafasi salama kwa wanawake kuondoka na nini maana ya kujikomboa kihisia na kijamii?

Share the Post: