Usawa wa Kijinsia
Katika mjadala huu, mwanaharakati Wema Husu na Mary Ndaro wanachambua changamoto zinazoendelea kukwamisha usawa wa kijinsia. Wanajadili sababu za kijamii, kiutamaduni na kimfumo zinazosababisha hali…
Katika mjadala huu, mwanaharakati Wema Husu na Mary Ndaro wanachambua changamoto zinazoendelea kukwamisha usawa wa kijinsia. Wanajadili sababu za kijamii, kiutamaduni na kimfumo zinazosababisha hali…
Mjadala huu unachunguza mihemko ya kidume na namna inavyojengwa na jamii, pamoja na athari zake kwa dhana ya kujiheshimu. Wadau wa ufeminia Mary Rusimbi, Sammy…
Mjadala huu unaangazia dhana ya uongozi kwa mtazamo wa kijinsia, ukichambua nafasi ya mwanamke katika uongozi kuanzia ngazi ya familia, ukoo hadi jamii kwa ujumla.…
Ni mjadala unaochambua maana na upeo wa fikra za kifeminia kutoka kwa mitazamo mbalimbali kupitia Vavagaa Zoom. Wafeminia wanajadili kwa kina jinsi ufeminia unavyoishi katika…
Kipindi hiki kinafungua mjadala kuhusu umiliki wa mwili wa mwanamke, haki ya maamuzi binafsi, na namna jamii, tamaduni na mifumo ya kijamii inavyoathiri uhuru wa…
Kipindi hiki kinafungua mjadala kuhusu umiliki wa mwili wa mwanamke, haki ya maamuzi binafsi, na namna jamii, tamaduni na mifumo ya kijamii inavyoathiri uhuru wa…
Kipindi hiki kinaangazia maisha, changamoto na nguvu za akina mama wanaolea peke yao, kikivunja dhana potofu na kuhimiza heshima, uelewa na msaada kwa wanawake hawa…
Kipindi hiki kinajadili rushwa ya ngono (sextortion), namna inavyojitokeza katika jamii, athari zake kwa wanawake na wasichana, na umuhimu wa kuivunja kimya ili kudai haki…
Kipindi hiki kinaelezea maana ya Ufeministi kwa undani, kikivunja dhana potofu na kufafanua misingi, malengo na umuhimu wake katika harakati za haki, usawa na utu…
Kipindi hiki kinatambulisha chimbuko, mawazo na dhumuni la kuanzishwa kwa Vavagaa, kikionyesha simulizi, ushiriki na mchango wa wanawake katika harakati za ukombozi katika nyanja mbalimbali.…
Please confirm you want to block this member.
You will no longer be able to:
Please note: This action will also remove this member from your connections and send a report to the site admin. Please allow a few minutes for this process to complete.