Kwanini wanawake hubaki katika mahusiano yasiyo na tija?
Katika episode hii ya Vavagaa, tunazungumza kwa uwazi kuhusu nguvu, hofu, upendo na utamaduni unaowafanya wanawake wengi kubaki kwenye mahusiano yasiyo na tija. Tukisikiliza sauti…
Katika episode hii ya Vavagaa, tunazungumza kwa uwazi kuhusu nguvu, hofu, upendo na utamaduni unaowafanya wanawake wengi kubaki kwenye mahusiano yasiyo na tija. Tukisikiliza sauti…
Tukiwa kama Vavagaa, tuna wajibu wa kuvunja ukimya kuhusu miili yetu, mzunguko wa hedhi, ngono salama, mimba na afya ya uzazi kwa ujumla. Tunazungumza bila…
Mazungumzo ambayo mara nyingi huachwa nyuma au kusemwa kwa sauti ya chini, sasa tunayaleta wazi pamoja na mtaalamu wa afya ya uzazi na uzazi wa…
Mada inayofata ni athari za matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii. Katika kipindi hiki cha Vavagaa, tunachambua kwa kina jinsi mitandao ya kijamii inavyoathiri maisha…
Mada hii inaangazia umuhimu wa elimu ya uzazi kwa mwanamke na mwanaume ili kuepusha madhara ya utoaji wa mimba na mimba zisizotarajiwa. Kufuatilia zaidi mada…
Vavagaa Mtaani tulienda moja kwa moja kwa wananchi.Tulizungumza na makundi mbalimbali kujua uelewa wao kuhusu harakati za ukombozi wa mwanamke.Je, watu wanaielewaje feminia? Tazama mjadala…
Tunapoadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, je tunabadilisha mifumo au tunarudia kauli zilezile?Kupitia mjadala wa Mary Ndaro na Demere Kitunga, Vavagaa inachambua mfumo dume, ufeminia na…
Kuanzia posa, mahari, mipango ya harusi hadi kuanza kuishi pamoja – ni taratibu zipi zinatuongoza, na zipi zinatuongoza bila sisi kuzichagua? Vavagaa inaleta mjadala wa…
Mjadala huu unaangazia namna dhana ya kubweteka inavyolengwa zaidi kwa wanawake, hususan wanawake waliopo nyumbani wanaotekeleza majukumu ya kazi za nyumbani. Kufuatilia zaidi mjadala huu…
Wanaharakati Mary Ndaro, Zuhura Yunus, Halima Sharif na wengine wanajadili maana na madhumuni ya mahari, pamoja na siasa zinazoizunguka taasisi ya ndoa. Mjadala unaangazia mitazamo…
Please confirm you want to block this member.
You will no longer be able to:
Please note: This action will also remove this member from your connections and send a report to the site admin. Please allow a few minutes for this process to complete.