Wanawake na Uongozi
Wanawake na uongozi si hadithi ya kusubiri ruhusa, bali ya kuchukua nafasi. Kwenye episode hii ya Vavagaa, tunafungua fikra juu ya nguvu, maamuzi, na njia…
Wanawake na uongozi si hadithi ya kusubiri ruhusa, bali ya kuchukua nafasi. Kwenye episode hii ya Vavagaa, tunafungua fikra juu ya nguvu, maamuzi, na njia…
Kwenye episode hii ya Vavagaa, tunafichua sauti za mtaani zikichambua nafasi ya wanawake na wanaume katika siasa, matarajio yao na changamoto wanazokutana nazo katika kushiriki…
Vavagaa inatibua na kunyumbua fikra. Vijana wakichambua uongozi kwa mtazamo wao, uzoefu wao na matarajio yao kwa mustakabali bora wa maisha yao. Vavagaa tunagusia maana…
Vijana wa bodaboda wakibadilishana mawazo kuhusu masuala ya uchaguzi wakigusia uzoefu wao, matarajio na namna maamuzi ya kisiasa yanavyogusa maisha yao ya kila siku. Sauti…
Ugumu wa ajira kwa wasichana ni mkubwa zaidi kuliko wavulana, ukichochewa na ubaguzi wa kijinsia, majukumu ya nyumbani, mimba za mapema na ukosefu wa ujuzi.…
Mila na desturi kandamizi kwa mwanamke bado zinazungumzwa sana mitaani. Kwenye episode hii tunachambua jinsi mila potofu zinavyomkandamiza mwanamke. Je, ni lini tutaacha mila hizi…
Msimu uliopita tulizungumza kuhusu ndoa, lakini safari haikuishia hapo. Tunarudi tena kwenye mjadala wa ndoa kwa macho ya sasa tukiangalia jinsi mapenzi, majukumu, uhuru, fedha…
Katika toleo hili la Vavagaa Mtaani, tulikaa na mafundi garage kuzungumza kwa uwazi kuhusu usawa wa kijinsia na kazi. Bila kufundisha wala kulaumu, tulisikiliza mitazamo,…
Kwanini jamii huona mwanamke akimove on haraka basi hakupenda kweli, lakini mwanaume akifanya hivyo huonekana ni kawaida au hata anapongezwa? Katika episode hii ya Vavagaa,…
Katika episode hii ya Vavagaa, tunachunguza mizizi ya usemi “wanawake ni maadui wa wanawake,” tukizungumzia kwa uwazi wivu, mashindano, nguvu na urafiki miongoni mwa wanawake…
Please confirm you want to block this member.
You will no longer be able to:
Please note: This action will also remove this member from your connections and send a report to the site admin. Please allow a few minutes for this process to complete.